Zikate nywele zako, Ee Yerusalemu, uzitupe,Ukafanye maombolezo juu ya vilele vya milima;Kwa maana BWANA amekikataa na kukitupaKizazi cha ghadhabu yake.