Yer. 51:16 Swahili Union Version (SUV)

Atoapo sauti yake pana mshindo wa maji mbinguni,Naye hupandisha mawingu toka ncha za nchi;Huifanyia mvua umeme,Huutoa upepo katika hazina zake.

Yer. 51

Yer. 51:11-17