Basi, lisikieni shauri la BWANA,Alilolifanya juu ya Babeli;Na makusudi yake aliyoyakusudiaJuu ya nchi ya Wakaldayo.Hakika watawaburura, naam, wadogo wa kundi;Hakika malisho yao yatafadhaika kwa ajili yao.