Yer. 50:43 Swahili Union Version (SUV)

Mfalme wa Babeli amesikia habari zao,Na mikono yake imekuwa dhaifu;Dhiki imemshika, na maumivu,Kama ya mwanamke katika utungu wake.

Yer. 50

Yer. 50:37-46