Sauti yao wakimbiao na kuokoka,Kutoka katika nchi ya Babeli,Ili kutangaza Sayuni kisasi cha BWANA, Mungu wetu,Kisasi cha hekalu lake.