Tangazeni katika mataifa,Mkahubiri na kutweka bendera;Hubirini, msifiche, semeni,Babeli umetwaliwa!Beli amefedheheka;Merodaki amefadhaika;Sanamu zake zimeaibishwa,Vinyago vyake vimefadhaika.