Yer. 49:3 Swahili Union Version (SUV)

Piga yowe, Ee Heshboni,Kwa maana Ai umeangamizwa;Lieni, enyi binti za Raba,Mjivike nguo za magunia;Ombolezeni, mkipiga mbioHuko na huko kati ya maboma;Maana Malkamu atakwenda kuhamishwa,Makuhani wake na wakuu wake pamoja.

Yer. 49

Yer. 49:1-8