Wamekimbia, wasio na nguvuWanasimama chini ya kivuli cha Heshboni;Ila moto umetoka katika Heshboni,Na mwali wa moto toka kati ya SihoniNao umekula pembe ya Moabu,Na utosi wa kichwa wa watu wapigao kelele.