Yer. 48:29 Swahili Union Version (SUV)

Tumesikia habari za kiburi cha Moabu;Ya kuwa ana kiburi kingi;Jeuri yake, na kiburi chake, na majivuno yake,Na jinsi alivyotakabari moyoni mwake.

Yer. 48

Yer. 48:24-38