Wataukata msitu wake, asema BWANA, ingawa haupenyeki;Kwa maana ni wengi kuliko nzige, hawahesabiki.