Yer. 34:22 Swahili Union Version (SUV)

Tazama, nitawapa amri yangu, asema BWANA, na kuwarejeza kwenye mji huu; nao watapigana nao, na kuutwaa, na kuuteketeza kwa moto; nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa, isikaliwe na mtu.

Yer. 34

Yer. 34:18-22