Yer. 30:17 Swahili Union Version (SUV)

Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA, kwa sababu wamekuita, mwenye kutupwa, wakisema, Ni Sayuni, ambao hapana mtu autakaye.

Yer. 30

Yer. 30:16-22