Yer. 28:15-17 Swahili Union Version (SUV)

15. Kisha nabii Yeremia akamwambia nabii Hanania, Sikia sasa, Ee Hanania; BWANA hakukutuma; lakini unawatumainisha watu hawa maneno ya uongo.

16. Basi BWANA asema hivi, Tazama, nakutuma uende zako toka juu ya uso wa nchi; mwaka huu utakufa, kwa sababu umenena maneno ya uasi juu ya BWANA.

17. Basi nabii Hanania akafa, mwaka uo huo, mwezi wa saba.

Yer. 28