Yer. 27:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Mwanzo wa kumiliki kwake Sedekia, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, neno hili likamjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, kusema,

2. BWANA ameniambia hivi, Jifanyizie vifungo na nira, ukajivike shingoni;

Yer. 27