Yer. 22:6 Swahili Union Version (SUV)

Kwa maana BWANA asema hivi, katika habari ya nyumba ya mfalme wa Yuda;Wewe u Gileadi kwangu,na kichwa cha Lebanoni;Ila hakika nitakufanya kuwa jangwa,na miji isiyokaliwa na watu.

Yer. 22

Yer. 22:1-7