Haya panda Lebanoni, ukalieUpalize sauti yako katika Bashani;Ukalie kutoka Abarimu;Maana wapenzi wako wote wameangamia.