Ole wake aijengaye nyumba yake kwa uovu!Na vyumba vyake kwa udhalimu!Atumiaye utumishi wa mwenzake bila ujira,Wala hampi mshahara wake;