Nami nitawaadhibu kwa kadiri ya matunda ya matendo yenu, asema BWANA; nami nitawasha moto katika msitu wake, nao utateketeza vitu vyote viuzungukavyo.