Mwimbieni BWANA; msifuni BWANA;Kwa maana ameiponya roho ya mhitajiKatika mikono ya watu watendao maovu.