Yer. 2:35 Swahili Union Version (SUV)

Lakini ulisema, Sina hatia mimi; bila shaka hasira yake imegeuka na kuniacha. Tazama, nitaingia hukumuni pamoja nawe, kwa sababu unasema, Sikutenda dhambi mimi.

Yer. 2

Yer. 2:32-37