BWANA asema hivi,Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu,Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yakeNa moyoni mwake amemwacha BWANA.