Yer. 1:10 Swahili Union Version (SUV)

angalia, nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya falme, ili kung’oa, na kubomoa, na kuharibu, na kuangamiza; ili kujenga na kupanda.

Yer. 1

Yer. 1:1-18