Yak. 5:4 Swahili Union Version (SUV)

Angalieni, ujira wa wakulima waliovuna mashamba yenu, ninyi mliouzuia kwa hila, unapiga kelele, na vilio vyao waliovuna vimeingia masikioni mwa Bwana wa majeshi.

Yak. 5

Yak. 5:1-9