Yak. 5:11 Swahili Union Version (SUV)

Angalieni, twawaita heri wao waliosubiri. Mmesikia habari ya subira yake Ayubu, mmeuona mwisho wa Bwana ya kwamba Bwana ni mwingi wa rehema, mwenye huruma.

Yak. 5

Yak. 5:8-15