Yak. 1:17 Swahili Union Version (SUV)

Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka-geuka.

Yak. 1

Yak. 1:9-24