Kitovu chako ni kama bilauri iliyoviringana,Na isikose divai iliyochanganyika;Tumbo lako ni mfano wa chungu ya ngano,Iliyozungukwa na ugo wa nyinyoro;