Uyageuzie macho yako mbali nami,Kwa maana yamenitisha sana.Nywele zako ni kama kundi la mbuzi,Wakijilaza mbavuni pa Gileadi.