Mpendwa wangu ameshukia bustani yake,Kwenye matuta ya rihani;Ili kulisha penye bustani,Ili kuchuma nyinyoro.