Nalimfungulia mpendwa wangu,Lakini mpendwa wangu amegeuka amepita;(Nimezimia nafsi yangu aliponena),Nikamtafuta, nisimpate,Nikamwita, asiniitikie.