Wim. 4:8 Swahili Union Version (SUV)

Bibi arusi, njoo pamoja nami toka Lebanoni,Pamoja nami toka Lebanoni.Shuka kutoka kilele cha Amana,Kutoka vilele vya Seniri na Hermoni;Kutoka mapangoni mwa simba,Kutoka milimani mwa chui.

Wim. 4

Wim. 4:1-12