Jinsi zilivyo nzuri pambaja zako, umbu langu,Bibi arusi, ni nzuri kupita divai;Na harufu ya marhamu yakoYapita manukato ya kila namna.