Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea,Nikamwona mpendwa wa nafsi yangu;Nikamshika, nisimwache tena,Hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu,Chumbani mwake aliyenizaa.