Usipojua, wewe uliye mzuri katika wanawake,Shika njia uzifuate nyayo za kondoo,Na kuwalisha wana-mbuzi wakoKaribu na hema za wachungaji.