Wim. 1:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Wimbo ulio bora, wa Sulemani.

2. Kubusu na anibusu kwa kinywa chake.Maana pambaja zako zapita divai;

3. Manukato yako yanukia vizuri;Jina lako ni kama marhamu iliyomiminwa;Kwa hiyo wanawali hukupenda.

Wim. 1