Ufu. 9:1 Swahili Union Version (SUV)

Malaika wa tano akapiga baragumu, nikaona nyota iliyotoka mbinguni, imeanguka juu ya nchi; naye akapewa ufunguo wa shimo la kuzimu.

Ufu. 9

Ufu. 9:1-4