Ufu. 8:5 Swahili Union Version (SUV)

Na huyo malaika akakitwaa kile chetezo, akakijaza moto wa madhabahu, akautupa juu ya nchi, kukawa radi na sauti na umeme na tetemeko la nchi.

Ufu. 8

Ufu. 8:1-13