Ufu. 8:10 Swahili Union Version (SUV)

Malaika wa tatu akapiga baragumu, nyota kubwa ikaanguka kutoka mbinguni, iliyokuwa ikiwaka kama taa, ikaanguka juu ya theluthi ya mito, na juu ya chemchemi za maji.

Ufu. 8

Ufu. 8:2-12