Ufu. 7:17 Swahili Union Version (SUV)

Kwa maana huyo Mwana-Kondoo, aliye katikati ya kiti cha enzi, atawachunga, naye atawaongoza kwenye chemchemi za maji yenye uhai, na Mungu atayafuta machozi yote katika macho yao.

Ufu. 7

Ufu. 7:9-17