Ufu. 7:11 Swahili Union Version (SUV)

Na malaika wote walikuwa wakisimama pande zote za kile kiti cha enzi, na za hao wazee, na za wale wenye uhai wanne, nao wakaanguka kifulifuli mbele ya kile kiti cha enzi, wakamsujudu Mungu,

Ufu. 7

Ufu. 7:7-13