Ufu. 6:5 Swahili Union Version (SUV)

Na alipoifungua muhuri ya tatu, nikamsikia yule wa tatu mwenye uhai akisema, Njoo! Nikaona, na tazama, farasi mweusi, na yeye aliyempanda ana mizani mkononi mwake.

Ufu. 6

Ufu. 6:4-7