Ufu. 6:2 Swahili Union Version (SUV)

Nikaona, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda ana uta, akapewa taji, naye akatoka, ali akishinda tena apate kushinda.

Ufu. 6

Ufu. 6:1-3