Ufu. 6:15 Swahili Union Version (SUV)

Na wafalme wa dunia, na wakuu, na majemadari, na matajiri, na wenye nguvu, na kila mtumwa, na mwungwana, wakajificha katika pango na chini ya miamba ya milima,

Ufu. 6

Ufu. 6:5-17