Ufu. 5:5 Swahili Union Version (SUV)

Na mmojawapo wa wale wazee akaniambia, Usilie; tazama, Simba aliye wa kabila ya Yuda, Shina la Daudi, yeye ameshinda apate kukifungua kile kitabu, na zile muhuri zake saba.

Ufu. 5

Ufu. 5:1-11