Ufu. 4:3 Swahili Union Version (SUV)

na yeye aliyeketi alionekana mithili ya jiwe la yaspi na akiki, na upinde wa mvua ulikizunguka kile kiti cha enzi, ukionekana mithili ya zumaridi.

Ufu. 4

Ufu. 4:1-11