Ufu. 3:21 Swahili Union Version (SUV)

Yeye ashindaye, nitampa kuketi pamoja nami katika kiti changu cha enzi, kama mimi nilivyoshinda nikaketi pamoja na Baba yangu katika kiti chake cha enzi.

Ufu. 3

Ufu. 3:18-22