Ufu. 3:10 Swahili Union Version (SUV)

Kwa kuwa umelishika neno la subira yangu, mimi nami nitakulinda, utoke katika saa ya kuharibiwa iliyo tayari kuujilia ulimwengu wote, kuwajaribu wakaao juu ya nchi.

Ufu. 3

Ufu. 3:8-17