Ufu. 22:6 Swahili Union Version (SUV)

Kisha akaniambia, Maneno haya ni amini na kweli. Naye Bwana, Mungu wa roho za manabii, alimtuma malaika wake kuwaonyesha watumwa wake mambo ambayo hayana budi kuwako upesi.

Ufu. 22

Ufu. 22:5-15