Ufu. 22:18 Swahili Union Version (SUV)

Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyaongeza, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.

Ufu. 22

Ufu. 22:13-21