Ufu. 21:6 Swahili Union Version (SUV)

Akaniambia, Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye mwenye kiu, ya chemchemi ya maji ya uzima, bure.

Ufu. 21

Ufu. 21:1-11