Ufu. 21:27 Swahili Union Version (SUV)

Na ndani yake hakitaingia kamwe cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye machukizo na uongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.

Ufu. 21

Ufu. 21:17-27